Tuesday, February 28, 2012

APRILI 1 MATUKIO MUHIMU KATIKA HISTORIA TANZANIA NA ULIMWENGU

APRILI 1 HISTORIA
*April 1, 1975: Dar es Salaam inaanza kupata umeme kutoka bwawa la Mtera.
*Aprili 1, 1944: Jenerali Hassan Ngwilizi, Mwanajeshi na mwanasiasa
mashuhuri wa Tanzania anazaliwa.
*Aprili 1, 1815: Otto von Bismarck, Mtawala wa Ujerumani aliyeitisha
Mkutano maarufu aw berlian wa kuligawa bara la Afrika (1884-1885)
anazaliwa.
*Aprili 1, 1948: Jimmy Cliff, mwanamuziki mashuhuri aliyetamba katika
Reggae, anazaliwa.
**Aprili 1, 1578: William Harvey, binadamu aliyegundua mfumo wa damu
mwilini anazaliwa.
*Aprili 1, 1971: Method Man, mwanamuziki maarufu mweusi wa mahadhi ya
Rap na Hip Hop wa Marekani anazaliwa.

No comments:

Post a Comment