Juni 8, 1967: B.J. Maggid anaapishwa na Rais Nyerere kuwa Mkuu mpya wa
Mkoa wa Kilimanjaro.
Juni 8, 1967: Solomon Eliufoo, Waziri wa Elimu wa Tanzania anaeleza
kuwa suala la elimu ni la kila mtu kushiriki hapa nchini.
1977: Kanye West, mwanamuziki maarufu mweusi wa Marekani, anazaliwa.
452: Italia inavamiwa na Attila the Hun, kiongozi hatari na vamizi
aliyesumbua falme nyingi za Ulaya nyakati zake.
1992: Tyler Davison, kitoto kichanga kidogo zaidi kuzaliwa duniani
kinatoka tumboni mwa mama yake kikiwa na urefu wan chi 6 na uzito wa
wakia (ounces) 11 tu.
1961: Prince Edward, mwana wa mfalme wa Uingereza kutoka Kent,
anamuoa Katharine Worsley
1953: Kimbunga aina ya Tornado kinaua watu 110 huko Michigan na Ohio, Marekani.
1983: Kim Clijsters, mcheza tenisi maarufu duniani anazaliwa.
No comments:
Post a Comment