*June 6, 1981: ZAWADI ABDALLAH v. IBRAHIM IDDI [1981] TLR 311 (Decided on 6th June 1981)(Mapigano, J)
*Juni 6, 2000: Serikali ianatangaza kukamilisha mchakato wa kulifuta
rasmi kisheria lililokuwa Shirika la Habari la Tanzania (SHIHATA).
*Juni 6, 1800: Mangi Orombo anafanikiwa kuunda himaya ya kwanza ya
kifalme Uchaggani. Historia ya kabila hili imejadiliwa kwa undani na
wanahistoria wakongwe wa Tanzania, Profesa Kimambo na Temu ndani ya
kitabu chao, The History of Tanzania.
*Juni 6, 1944:Siku ya D (D-Day), siku muhimu zaidi katika historia ya
Vita vya Pili Duniani ambapo jeshi kubwa la Ushirika lenye wanajeshi
150,000 linatua jimbo la Normandy, Ufaransa kukabiliana na majeshi ya
uvamizi ya NAZI ya Adolf Hitler.
*Juni 6, 1994: Watu wapatao 1,000 wanakufa kutokana na tetemeko kubwa
la ardhi huko Toez Colombia.
*Juni 6,1935: Dalai Lama,kiongozi wa kiroho na kisiasa wa watu wa
jamii ya Buddha katika jimbo la Tibet, China, anazaliwa.
*Juni 6,1958:Charles de Gaulle, aliyekuwa Waziri Mkuu maarufu wa
Ufaransa, anajigamba kuwa Algeria ni mali ya Ufaransa.
*Juni 6, 1949: "Inalipa kuwa Mjinga” (“It Pays To Be Ignorant"),
kipindi maarufu cha televisheni kupitia televisheni yaCBS
kinazinduliwa.
*Juni 6,1985: Mwili wa Dk. Josef Mengele, mhalifu maarufu wa utawala
dhalimu wa NAZI wakati wa Adolf Hitler, unagunduliwa ulipozikwa.

No comments:
Post a Comment