Tuesday, February 28, 2012

MARCH 28 EVENTS IN HISTORY (MACHI 28 MATUKIO MAKUBWA HISTORIA TANZANIA NA DUNIANI)

Machi 28, 1993: Jaji James Mwalusanya wa Mahakama Kuu anatoa amri ya
kulizuia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kupandisha kodi katika
nyumba zake kwa kiawango cha asilimia 800.
*Machi 28, 1978: Sheria inayounda BNodi ya Biashara ya Nje (BET)
inaanza rasmi kazi kupitia Tangazo la Serikali (GN) Namba 35.
*Machi 28, 1983: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anaagiza kuwepo kwa
mfumo wa ugawaji ardhi vijijni ambapo wakulima watapaswa wapatiwe hati
maalum ziwasaidie wasipokonywe ardhi yao.
*Machi 28, 1992: Khatibu Senkoro ambaye wakati huu ni Mwenyekiti wa
Bodi ya wakurugenzi wa Kiwanda cha Kusindika nyama cha Tanganyika
Packers cha Kawe, Dar es Salaam anaeleza kuwa Kiwanda hicho kinaweza
kusimamisha uzalishaji muda wowote. Baadaye kiwanda hicho
kilifilisika.
*Machi 28, : Lady Gaga, mwanamuziki mashuhuri duniani, anazaliwa.
*Machi 28, : Julia Stiles, mcheza sinema maarufu wa kike wa Marekani anazaliwa.
1969: Dwight D. Eisenhower, Rais wa 34 wa Marekani anafariki.
Machi 28, 1995: Mcheza sinema maarufu Julia Roberts anatengana na
mumewe Lyle Lovette.
1991: Mike Tyson anakubali kuwa alizaa mtoto na mwanamke mmoja,
Kimberly Scarborough.

No comments:

Post a Comment