Tuesday, February 28, 2012

MARCH 7 EVENTS IN HISTORY (MACHI 7 MATUKIO MAKUBWA HISTORIA TANZANIA NA DUNIANI)

Machi 7

* Machi 7, 1994: Charles Taylor anajiuzulu Urais wa Liberia.

* Machi 7,1994: Nelson Mandela wa Chama cha ANC cha Afrika ya Ksuini analikataa pendekezo lililotolewa na wazungu wenye makaburu wenye msimamo mkali waliotaka nchi hito igawanywe sehemu mbili za kuishi Wazungu na weusi.

* Machi 7, 1989: Iran inavunja uhusiano wa kibalozi na Uingereza kutokana n a Uingereza kumpa kumlinda na kumpa hifadhi ya kisiasa mwandishi Salman Rushdie aliyeandia kitabu cha “Aya za Shetani” ambacho kinadaiwa kukashifu kitabu kitakatifu cha Waislamu cha Kurani na Mtume Muhammad S.A.W

* Machi 7, 1997: Magic Johnson, mchezaji maarufu wa mpira wa vikapu wa Marekani anakuwa binadamu wa pili na mchezaji wa ligi ya kutoa pasi inayosaidia kufungwa kwa goli la 10,000 katika ligi hiyo maarufu.

199

* Machi 7, 1955: Al-Waleed bin Talal,, mfanyabiashara bilionea wa kiatrabu aliyezaliwa familia ya kifalme ya Saudi Arabia anazaliwa.

* Machi 7, 1693: Papa Clement XIII anazaliwa.

No comments:

Post a Comment