*Mei 6, 1972: Kampuni ya Wakala wa Meli Tanzania (NASACO) inaanzishwa.
*Mei 6, 1973: Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Mtwara inazinduliwa rasmi.
*Mei 6, 1994: Nelson Mandela na chama chake cha ANC wanathibitishwa
rasmi kuwa wameshinda uchaguzi mkuu wa kwanza huru wa Afrika ya
Kusini. Mandela anakuwa Rais wa kwanza mweusi.
*Mei 6, 1960: Rais Dwight Eisenhower wa Marekani anasaini rasmi Sheria
inayotoa haki sawa kwa watu wote Marekani iitwayo Civil Rights Act.
*Mei 6, 1856: Sigmund Freud, muasisi wa Sayansi ya Saikolojia na
mwana-Saikolojia mashuhuri kuliko wote waliopata kuishi anazaliwa.
*Mei 6, 1994: Lennox Lewis anamtwanga kwa TKO Phil Jackson katika
raundi ya nane ya kumtafuta bingwa wa masumbwi ya uzito wa juu
duniani.
*Mei 6, 1977: Gabriela Aguilar, Miss Costa Rica Universe 1997
No comments:
Post a Comment