*Machi 23, 1973: Nduli Idi AMin wa Uganda anasisitiza tena kuiwahana
mopango wakuivamia nchi yoyote jirani, ikiwemo Tanzania.
*Machi 23, 2006: Vyombo vya habari vinaripioti kuhusu uvumi kuwa
majambazi nchini wemebuni mbinu mpya ya uporaji kwa kutumia mwani
maalum zinazoweza kuionea mbali. Taarifa hzio zinaelezwa kumshtusha
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinai nchini, Robert Manumba.
*Machi 23,1945: manowari zipatazo 1,500 zinaushambulia mji wa Okinawa
huko japan wakati vita vya Pili vya Dunia vikimalizika. Hii ilikuwa ni
moja ya mashambulizi mabaya zaidi kufanywa kijeshi baharini katika
historia ya Ulimwengu.
*Machi 23, 1953: Chaka Khan, mwanamuziki mashuhuri aliyetamba sana
anazaliwa. *Machi 23,1956: Sudan inapata Uhuru
*Machi 23,1956: Pakistan inakuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Pakistani.
*Machi 23,1987: Tamthiliya maarufu ya ‘;Bold and Beautiful’ inaanza kuonyeshwa.
Machi 23, 1973: Jason Kidd, mchezaji mchezo wa vikapu mashuhuri ligi
ya Marekani ya NBA anazaliwa.
*Machi 23,1971: Yasmeen Ghauri,mmoja wa warembo maarufu duniani, anazaliwa.
*Machi 23,1971: Renette Cruz, Mrembo bora wa Canada 1996 anazaliwa.
No comments:
Post a Comment