*Mei 18, 2003: Msichana mmoja wa kijiji cha Ornagaidida, Kata ya Qash,
wilayani Babati, Haima Amma (19) anabakwa na kIsha kukatwa kwa mapanga
na kichaa aitwaye Dominick Gustav. Anafariki siku mbili baadaye.
*Mei 18, 1993: Benedetto “Nitto” Santapola, bosi aliyeogopwa wa genge
la Mafia anakamatwa na Polisi wa Italia.
*Mei 18, 1994: Israeli inaondoa majeshi yake kutoka ukanda wa Gaza.
*Mei 18, Kaci Thompson, Miss Nevada USA 1997, anazaliwa.
*Mei 18, 1979: Tina Fey, mwandishi na muigizaji maarufu, anazaliwa.
*Mei 18, 1997: Tiger Woods anashinda shindano la gofu la Nelson Classic.
No comments:
Post a Comment