Tuesday, February 28, 2012

MACHI 31 MATUKIO MAKUBWA HISTORIA TANZANIA NA DUNIANI

*Machi 31, 1993: Kashfa ya Loliondo inazitungisha siasa za Tanzania na
kuzidi kumweka pabaya Waziri wa maliasili na Utalii wakati huu,
Abubakari Mgumia.
*Machi 31, 1993: Mercel komanya, waziri wa Ardhi anafafanua matumizi
ya sheria za kumiliki ardhi Tanzania.s
*Machi 31, 1948: Al Gore, Makamu wa Rais wa Marekani wakati wa utawala
wa Bill Clinton anazaliwa. Ni mshindi wa Nobel ya amani katika
Mazingira.
*Machi 31,1595: Rene Descartes, mwanafalsafa maarufu duniani anazaliwa.
*Machi 31, 1927: Cesar Chavez, mwanaharakati maarufu wa haki za
wakulima na wafanyakazi, anazaliwa.
*Machi 31, 1499: Piusi wa Nne (Pius IV) au jina halisi Gianangelo
de’Medici, aliyewahi kuwa mwanasheria maarfu na Papa wa Kanisa
Katoliki anazaliwa.
*Machi 31, 1934: Richard Chamberlain, mcheza sinema maarufu aliyevuma
na filamu ya Machimbo ya Mfalme Solomoni (King Solomon’s Mines,
anazaliwa).

No comments:

Post a Comment