Monday, February 27, 2012

APRILI 20 MATUKIO MAKUBWA HISTORIA TANZANIA NA DUNIANI

Aprili 20, 1889: Adolf Hitler, Dikteta maarufu wa Hitler
aliyeangamiza maelfu ya Wayahudi na kuuingiza Ulimwengu katika Vita
vya Kwanza vya Dunia, anazaliwa.
• Aprili 20, 1945: Vita vya Pili vya Dunia ambavyo vilianzishwa na
Dikteta Adolf Hitler na ndivyo vita vilivyoua mamilioni zaidi ya watu
na kuutia ulimwengu hasara kubwa zaidi, vinaelekea ukingoni baada ya
majeshi ya Urusi kuutwaa mji maarufu wa Ujerumani wa Berlin.
• Aprili 20, 1951: Luther Vandross, mwanamuziki mweusi wa Marekani na
mmoja wa maarufu zaidi walipata kuishi, anazaliwa.
• Aprili 20, 1972: Carmen Electra, mwanamitindo na mcheza filamu
mashuhuri wa Marekani aliyeshiriki katika mfululizo wa televisheni wa
Bay Watch na kutokea katika vyombo vingi vya habari, anazaliwa.
• Aprili 20, 1920: Azimio la Balfour linaloifanya ardhi ya Palestina
kuwa sehemu ya Uingereza, linapita.
• *Aprili 20, 1992: Mwanamuziki maarufu wa kike wa Marekani, Madonna
anaingia mkataba wa dola milioni 60 na kampuni ya Time Warner na
kuweka rekodi ya moja ya mikataba minono zaidi duniani.

No comments:

Post a Comment