*Aprili 27,1865: Watu 1, 547 wanakufa baada ya meli iendeshwayo kwa
nguvu za mvuke, kulipuka katika mto Mississippi.
*Aprili 27,1859: Abiria wote 400 wanazama na kufa baada ya meli
iitwayo "Pomona" kuzama katika bahari ya Atlantic.
*Aprili 27,1870: Heinrich Schliemann anavumbua mji wa kale wa Troi.
*Aprili 27,1974: Abiria 107 ndani ya ndege ya Pan Am 707 wanakufa
inapogonga milima ya Bali huko bara Asia.
*Aprili 27,1976: Mataifa ya Kiarabu yanaanzisha mfuko wa fedha uitwao
Arabic Monetary Fund huko Abu Dhabi.
*Aprili 27,1896: Wallace Hume Carothers, mvumbuzi wa nailoni,
anazaliwa. inventor, nylon
*Aprili 27,1822: Ulysses S. Grant Rais wa 18 wa Marekani (1869-77) anazaliwa.
*Aprili 27,1909: Mohammad Khatami, mwanafsalsa maarufu wa Iran anazaliwa.
*Aprili 27,1861: Jimbo la Virginia Magharibi la Marekani linajitenga
kutoka katika jinbo la Virginia.
No comments:
Post a Comment