*Mei 4, 1981: Rais Samora Moses Machel anawasili Dar es Salaam ambako
anakaa masaa sita ambapo pia anaongea kwa faragha na mwenyeji wake
Mwalimu Nyerere, Ikulu, Dar es Salaam.
*Mei 4,1715: Mwamvuli wa kwanza wa kukunja unatengenezwa huko Ufaransa.
*Mei 4,1932: Al Capone, mhalifu mashuhuri wa Mafia wa Marekani anatiwa
gerezani kwa ukwepaji kodi.
*Mei 4, 1910: Mji mkuu wa Israel, Tel Aviv, unaanzishwa.
*Mei 4,1980: Josip Broz Tito, Rais wa zamani wa Yugoslavia, anafariki
akiwa na umri wa miaka 87.
*Mei 4,1942: Chakula kinatolewa kwa mgao maalum wakati huu wa Vita vya
Pili vya Dunia ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa taifa la
Marekani 1776.
No comments:
Post a Comment