*Mei 12, 1954: Richard Hindorf, Mjerumani aliyeingiza zao la mkonge
nchini Tanganyika mnamo mwaka 1893, anafariki dunia.
*Mei 12, 1942: Wayahudi 1,500 wanateketezwa kwa gesi ya sumu katika
kambi ya amteso ya Auschwitz, Israeli.
*Mei 12, 1982: Padri wa Kispaniola anakamatwa akiwa na jambia
alipokuwa akipanga kumshambulia na kumdhuru Papa John Paul II
alipotembelea mji wa Fatima, Ureno ambapo watoto watatu, Lucia, Yasisi
na Yasinta wanadaiwa kutokewa na Bikira Maria.
*Mei 12, 1670: Mfalme August II wa Poland, maarufu kama “Mwenye Nguvu”
anazaliwa. Alizaa watoto 355.
*Mei 12, 1907: Katharine Hepburn, mmoja wa wacheza sinema wa kike
maarufu zaidi kupata kuishi, anazaliwa.
*Mei 12, 1978: Jason Biggs, Mmarekani aliyetamba katika filamu ya
kuvutia ya ‘American Pie' anazaliwa.
No comments:
Post a Comment