Friday, February 24, 2012

JUNI 13 KATIKA HISTORIA (JUNE 13 HISTORY IN KISWAHILI)

*Juni 13, 1983: Mahakama ya Rufaa ya Tanzania inasikiliza kesi muhimu
zaidi katika sheria za ndoa, talaka na mgawanyo wa mali nchini. Ni
kesi ya Hawa Mohammedi dhidi ya aliyekuwa mumewe, Ali Sefu.
1955: watu 77 wanakufa katika mashindano ya magari aina ya Mercedes
Benz huko Le Mans, Ufaransa.
*Juni 13, 1997: Timothy McVeigh anahukumiwa adhabu ya kifo kwa kuua
mamilioni ya watu katika jingo la serikali huko Oklahoma, Marekani.
*Juni 13, 1990: Nelson Mandela na mkewe Winnie Mandela wanapata
mapokzi makubwa huko New York, Marekani.
*1986: Bob Marley, mwanamuzki maarufu wa reggae wa Marekani anafanya
tamasha la kihistoria huko Amsterdam, Uholanzi.
*Juni 13, 19839: Detroit Pistons inatwaa ubingwa mpira wa kikapu
(basketball) Marekani baada ya kuibwaga Los Angekes Lakers.

No comments:

Post a Comment