*Aprili 2, 1902: Reli ndefu zaidi Afrika inayotoka cape Twon, Afrika
Kusini hadi Cairo, Misri inafunguliwa rasmi.
*Aprili 2, 1982: Argentina inavivamia visiwa vya Falklands inavyodai
Uingereza imevikalia kimabavu. Vita baina ya nchi hizi vinafuatia.
*Aprili 2,1939: Marvin Gaye, mwanamuziki maarufu wa Marekani anazaliwa.
Aprili 2, 1979: Menachem Begin, Waziri Mkuu wa Isareli anafanya ziara
ya kihistoria katika nchi ya Kiarabu baada ya kuitembelea Misri kwa
mwaliko wa Rais Anwar Sadat.
Aprili 2, 1985: Marekani inafanya jaribio la Nyuklia huko Nevada.
1976: Ureno inapata Katiba yake.
No comments:
Post a Comment