*Machi 30, 1840: Sultani wa Zanzibar ni mmoja wa wafanyabiashara
wakubwa wa biashara ya utumwa duniani wakati huu.
*Machi 30,1983: srrikali ya New Zealand inatoa msaada kuwzesha
uzalishaji ng’ombe bora katika shamba la mifugo la Kitulo.
*Machi 30, 1968: Celine Dion, mwanamuziki maarufu wa Canada aliyetamba
na wimbo Power of Love anazaliwa.
*Machi 30, 1962: M.C Hammer, mwanamuziki mweusi wa Marelani aliyetamba
sana enzi zake anazaliwa akiitwa Stanley Kirk Burrell.
*Machi 30, 1945: Eric Clapton, mwanamuziki na mpiga gitaa mashuhuri
duniani enzi zake, anazaliwa.
*Machi 30, 1979: Norah Jones, mwanamuziki mashuhuri wa Marekani, anazaliwa.
No comments:
Post a Comment