Tuesday, February 28, 2012

MARCH 12 EVENTS IN HISTORY (MACHI 12 MATUKIO MAKUBWA HISTORIA TANZANIA NA DUNIANI)

Machi 12
*Machi 12, 1985: Mahakama ya Rufaa ya Tanzania inasisitiza tena kuwa
sheria za kimila zina nafasi muhimu katika mfumo wa sheria na haki
Tanzania. Ni katika kesi ya Maagwi Kimito v. Gibena Werema.
*Machi 12, 1976: Majeshi ya makaburu wa Afrika ya Kusini yanaondoka
kutoka Angola.
*Machi 12, 1964: Malcolm X, mawanaharakti maarufu wa haki za weusi
anajiondoa kutoka katika kikundi cha National of Islam cha Marekani.
*Machi 12, 1938: Majeshi ya NAZI nchini ya Adolf Hitler yanaivamia Austria.
*Machi 13, 1977: Rais Anwar Sadat wa Misri anaapa kurejeshwa kwa ardhi
ya Waarabu kutoka kwa Wa-Israeli.
*Machi 12, 1980: John Wayne Gacy, mmoja wa wahalifu maarufu zaidi
waliopata kuishihuko Marekani anatiwa hatiani kwa kuua watu 33 huko
Chicago..
1969: Paul McCartney anafunga ndoa na Linda Louise Eastman.

No comments:

Post a Comment