HISTORIA Machi 17
*Machi 17, 1990: Yanga ya Dar es Salaam inalazimisha sare kwa Ndovu ya
Arusha, timu ngeni iliyoogopwa sana katika ligi Kuu ya Tanzania bara
mwaka huo.
*Machi 17, 1942: John Wayne Gacy, muuaji wa siri na hatari zaidi
Marekani aliyeua jumla ya wavulana 32 anazaliwa huko Chicago,
Marekani.
1972: Mia Hamm, mmoja wa wanasoka maarufu zaidi wa kikie duniani,
anaz;liowa huko Selma, Alabama.
*Machi 17, 1948: Robert Braunwart, mwanahistoria maarufu wa karne ya
21 anazaliwa.
*Machi 17, 1977: Hadeel Abol-Naga, Miss Universe wa Misri 1966 anazaliwa.
*Machi 17, 1977: Iveta Jankularova, Miss Universe Jamhuri ya Watu wa
Slovak 1996 anazaliwa.
*Machi 17, 1907:Jan M J van Houtte: Waziri Mkuu wa zamani wa
Ubelgiji, anazaliwa.
*Machi 17, 1901: Eisaku Sato, Waziri Mkuu wa zamani wa Japan,
anazaliwa. ALishinda tuzo ya Nobel ya 1974.
No comments:
Post a Comment