Tuesday, February 28, 2012

MARCH 29 EVENTS IN HISTORY (MACHI 29 MATUKIO MAKUBWA HISTORIA TANZANIA NA DUNIANI)

Machi 29
*Machi 29, 1984: Mbunge Sambu Abdallah Gallawa anaeleza kutoridhika na
hukumu iliyomuengua ubunge wa jimbo la Singida mjini iliyotolewa na
jaji Kahwa Luigakingira wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
*Machi 29, 1993: Bibi Tabitha Siwalle ambaye ni waziri wa Ardhi wakati
huu anasema tatizo la ugawaji kiwanja kimoja kwa watu wawili au zaidi
ni sugu jijini Dar es Salaam.
* Machi 29, 1790: John Tyler, Rais wa 10 wa Marekani anazaliwa huko Virginia.
* Machi 29, 1819: Edwin Drake, binadamu aliyechimba kisima cha kwanza
kabisa cha mafuta duniani, anazaliwa Marekani.
* Machi 29, 1943: John Major, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza,
anazaliwa.
* Machi 29, 1976: Jennifer Capriati, mmoja wa wacheza tenisi mashuhuri
wa kike duniani, anazaliwa.

No comments:

Post a Comment