Tuesday, February 28, 2012

MARCH 15 EVENTS IN HISTORY (MACHI 15 MATUKIO MAKUBWA HISTORIA TANZANIA NA DUNIANI)

Machi 15 Historia
*Machi 15, 1984: Mabadiliko ya Tano Katiba ya Tanzaniaya Mwaka 1977
yanaingiza Haki za Binadamu (Bill of Rights) katika mwaka huo huo
ambapo Zanzibar inapata Katiba yake mpya.
*Machi 15, 2005: Taratibu za mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Muungano
na Waziri wa mambo ya nje ya Tanzania, Balozi Ahmed Hassan Diria
zinakamilika.
*Machi 15, Eva Longoria, mcheza sinema na televisheni maarufu wa
Marekani kupitia mfululizo wa tamthiliya ya kweli ya Desperate
Housewives anazaliwa.
*Machi 15, 1767: Andrew Jackson, Rais wa zamani wa Marekani, anazaliwa.
*Machi 15,1981 : Young Buck, mwanamuziki mashuhuri wa kundi la G-Unit
la Marekani, anazaliwa.
*Machi 15,1933: Ruth Bader Ginsburg, Mmoja wa Majaji wa mahakama ya
Juu zaidi ya Marekani, anazaliwa.
*Machi 15, 1974: Rais Garastazu Medici wa Brazil anajiuzulu.

No comments:

Post a Comment