Machi 13, 1938: Clarence Seward Darrow, mmoja wa wanasheria maarufu zaidi kupata kuishi, anafariki. Anakumbukwa hasa kwa kipaji kikubwa cha kuongea ambapo kile alichokiongea mara zote kilisisimua sana. Anakumbukwa kwa kumtetea mwalimu mmoja, John T. Scopes katika kesi maarufu ya Scopes "Monkey" Trial (1925).
No comments:
Post a Comment