Tuesday, February 28, 2012

MARCH 25 EVENTS IN HISTORY (MACHI 25 MATUKIO MAKUBWA HISTORIA TANZANIA NA DUNIANI)

*Machi 25, 2005: Dk. Said Egwaga, Meneja wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Kifua Kikuu na Ukoma anasema kuwa Tanzania inaweza kutokomeza au kupunguza kwa kiasi magonjwa haya na hasa Kifua kikuu.
*Machi 25, 1942: Aretha Franklin, mwanamuziki mashuhuri wa kike Mweusi wa Marekani, anazaliwa huko Memphis, Tennessee. Alitamba na albamu na nyimbo nyingi ikiwemo maarufu zaidi iitwayo ‘Respect’(‘Heshima’).
*Machi 25, 1982: Danica Patrick, Dereva mashuhuri wa mbio za magari wa Marekani anazaliwa.
1133: Henry II, Mfalme wa Uingereza kati ya 1154 - 1189 anazaliwa.
1862: George Sutherland, Jaji mashuhuri wa Uingereza anazaliwa.
1653: Joseph Sauveur, Mwanafizikia na Mwanahisabati maarufu wa Ufaransa anazaliwa.
1839: William Bell Wait, Mmarekani aliyefanya jitihada kubwa kuwaelimisha wasioona anazaliwa.
*Machi 25, 1906: Alan J P Taylor, Mwanahistoria maarufu wa Uingereza, anazaliwa.

No comments:

Post a Comment