Monday, February 27, 2012

APRILI 11 MATUKIO MAKUBWA HISTORIA TANZANIA NA DUNIANI

*Aprili 11, 1979: Nduli Idi Amin, dikteta wa Uganda anaikimbia Uganda baada ya kuopindiliwa na majeshji ya Tanzania yakishirikiana na wapinzani wake wa Uganda. Tukio hili linaashiria pia kumalizika kwa Vita vya Kagera.
1984: Majeshi ya China yanaivamia Vietnam.
*Aprili 11, 1984: Jenerali Konstantin Chernenko ambaye ni Katibu Mkuu
wa Chama cha Kikomunisti cha Urusi, anachaguliwa kuwa Rais wa nchi
hiyo.
*Aprili 11, 1983: filamu ya “Gandhi” inayoonyesha maisha na harakati
za mwanamapinduzi mashuhuri wa India, Mahatama Gandhi inashinda tuzo
ya Oscar huko Marekani.
*Aprili 11,1906: Albert Einstein, mwanafizikia maarufu duniani wakati
wake anatangaza nadharia yake maarufu iitwayo Relativity.
1985: Enver Hoxha, Waziri Mkuu wa zamani wa Albania anafariki.
*Aprili 11,1512: Gastorn de Foix, aliyewahi kujifanya mfalme (kwa
kutumia udanganyifu) wa Ufaransa, anafariki dunia.
*Aprili 11, 1970: Rais wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere anaeleza
kuwa Umoja wa Kutofungamana na Upande wowote (NAM) ni Jumuiya muhimu
san kwa nchi kama Tanzania wakati dunia iko katika Vita Baridi vya
Kikomunisti na Kibepari kati ya Marekani na Urusi.

No comments:

Post a Comment