Monday, February 27, 2012

APRILI 8 MATUKIO MAKUBWA HISTORIA TANZANIA NA DUNIANI

*Aprili 8,1946:Iliyokuwa Jumuiya ya Mataifa (League of Nations) kabla
ya kuzaliwa kwa umoja wa mataifa wa sasa (UN) inafanya kikao chake cha
mwisho kabisa kabla ya kusambaratika.
*Aprili 8, 1977: Yitzhak Rabin, Waziri Mkuu wa Isreli anajiuzulu.
*Aprili 8,1985: Serika;li ya India inaishtaki kampuni ya Union Carbide
kwa uzembe uliosababisha kuvuja na kusambaa kwa mionzi ya Nyuklia
iliyoua maelfu ya watu.
*Aprili 8, 1938: Kofi Annan, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kati ya
mwaka 1997 - 2007, na mshindi wa tuzo ya Amani ya Nobel kwa mwaka 2001
anazaliwa huko Ghana.
*Aprili 8,1966: Leonid Brezhnev anateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa chama
cha Kikomunusti cha Ursusi.
*Aprili 8, 1986: Clint Eastwood, mcheza sinema maarufu duniani kutoka
Marekani anachaguliwa Meya wa mji mdogo wa Carmel, California.

No comments:

Post a Comment