Tuesday, February 28, 2012

MARCH 24 EVENTS IN HISTORY (MACHI 24 MATUKIO MAKUBWA HISTORIA TANZANIA NA DUNIANI)

* Machi 24 2006: Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema anajisalimisha
mahakama kuu siku 3 baada ya kuamriwa akamatwe kwa kuhusishwa na
utoaji maneno ya uchochezi kuhusiana na vifo katika machimbo ya
Bulyanhulu ambapo wachimba migodi wadogo wadogo walifunikwa mwaka
1996.
*Machi 24, 1989: Galoni milioni11.3 za mafuta zinamwagika katika ajali
ya meli ya mafuta ya Valdez inamilikiwa na kampuni ya ExxonMobil huko
Alaska na kuweka rekodi ya umwagikaji mafuta ya dunia.
*Machi 24, 1944: Patti Labelle, Mwimbaji mashuhuri Mmarekani mweusi anazaliwa.
*Machi 24, 1871: Ernest Rutherford, mwanasayansi mashuhuri wa Fizikia
na masula ya nyuklia anazaliwa.
*Machi 24, 1755: Rufus King, mmoja wa Wamarekani mashuhuri
aliyeshiriki kwa karibu katika kutungwa Katiba ya Marekani, anazaliwa.
*Machi 24, 1903: Adolph F J Butenandt, mwanasayansi mahiri katika
bayolojia na Kemia na smhindi wa tuzo ya Nobeli ya mwaka 1939
anazaliwa.
*Machi 24, 1897: Wilhelm Reich, mwanasayansi aliyebobea sana
katikautafitiwa Tabiaza binadamu na viumbe wengine, anazaliwa.
*Machi 24, 1855: Andrew W. Mellon, Bilionea tajiri aliyeanzisha
benkika Mellon Bank anazaliwa.
*Machi 24, 1993: Ezer Weizman anachaguliwa Rais wa Israel
*Machi 24, 1944: Ndege zipatazo 811 za Uingereza zinaushambulia mji wa
Berlin wakati wa vita vya Pili vya Dunia.

No comments:

Post a Comment