Wednesday, February 22, 2012

AGOSTI 12 (MATUKIO MUHIMU YA KI-HISTORIA KATIKA TAREHE HII)

Agosti 12 historia
*Agosi 12, 1964: Augustine Saidi anakuwa Jaji wa Kwanza mweusi wa
Mahakama Kuu Tanzania.*Agosti 12, 1958: Mwalimu Julius Nyerere
anatiwa hatiani katika kesi iliyomkabili ya kuandika taarifa
zilizodaiwa kuwachafulia jina Wakuu wawili wa Serikali ya kikoloni
Tanganyika. Analipa faini ya shilingi 300 na kuepuka kwenda jela miezi
6.
*Agosi 12, 1964: Watu 142 wanakufa baada ya kutokea mkanyagiko (panic)
katika kanisa huko Brazaville, Congo.
*Agosi 12, 1982: Majeshi ya Israeli yanalitwanga vibaya kwa mabomu
jiji la Beirut, Lebanon.
*Agosi 12, 1993: Papa John Paul II anafanya ziara ya kihistoria Marekani.
*Agosi 12, 1971: Pete Sampras, mmoja wa wacheza tenisi mahiri zaidi
waliopata kuishi, anazaliwa.

No comments:

Post a Comment