Wednesday, February 22, 2012

AUGUST 20 EVENTS IN HISTORY (MATUKIO YA KI-HISTORIA AGOSTI 20)

*Agosti 20, 1896: Simu ya mezani ya kuzungusha namba inavumbuliwa na
kuandikishwa kisheria.

*Agosti 20, 1919: Jaji M.C.E.P aliyewahi kuwa Jaji maarufu wa Mahakama
Kuu ya Tanzania na ile ya Rufaa ya Afrika Mashariki, anazaliwa.
*Agosti 20, 1991: Estonia inajitangazia uhuru kutoka taifa la Urusi.
*Agosti 20, 1993: Mama Teresa wa Calcutta, mtawa maarufu wa Kikatoliki
aliyeishi India, anapata malaria na hali yake inazidi kuwa mbaya.
Alifariki baadaye.
*Agosti 20, 1979: Charan Singh, waziri Mkuu wa India wa zamani, anajiuzulu.
*Agosti 20, 1915: Italia inatangaza Vita dhidi ya Uturuki wakati Vita
vya Kwanza vya dunia vikipamba moto.

No comments:

Post a Comment