Friday, February 24, 2012

JUNI 20 KATIKA HISTORIA (JUNE 20 HISTORY IN KISWAHILI)

*Juni 20, 1895: Picha ya kwanza inayoonyeshwa wafungwa wa kike
Tanganyika inatolewa hadharani wakati wa Ukoloni wa Kijerumani.
Picha hii ilikuwa ya kwanza kuwaonyesha wafungwa wanawake waliokuwa magerezani Tanganyika wakati wa Ukoloni wa Wajerumani Tanganyika (1885-1917)

*Juni 20, 1960: Senegal na Mali zinapata uhuru kutoka kwa
Wafaransa.1944: Utawala dhalimu wa Kinazi wa diketea Adolf Hitler wa
Ujerumani unaanza kuuaa maelfu ya Wayahudi huko Auschwitz, Ujerumani.
*Juni 20, 1949: CIA, Shirika la Ujasusi la Marekani linaanzishwa.
*Juni 20, 1895: Caroline Willard Baldwin anakuwa mwanamke wa kwanza
duniani kupata Shahada ya Juu ya Falsafa maarufu kama Ph.D.
*Juni 20, 1990: Nelson Mandela anawasili Marekani kuanza ziara yake ya
kwanza nchini humo tangu aachiwe huru kutoka gerezani.
*Juni 20, 1948: Wayahudi 20 wanakufa kutokna na bomu la kutegwa huko
Cairo, Misri.

No comments:

Post a Comment