*Agosti 23, 1943: Sheria ya Mikopo na Ruzuku za serikali inatiwa
saini kuanza kutumika. Sheria hii ni Sura ya 134 ya Sheria za
Tanzania.
*Agosti 23, 1799: Kanisa la Kiepiscobali la Kimethodisti la Afrika
(African Methodist Episcopal) linaanzishwa rasmi.
*Agosti 23, 1866: Utumwa unapigwa marufuku Uingereza ; Watumwa
700,000 wanatangazwa kuwa huru mara moja.
*Agosti 23, 1990: Ujerumani Mashariki na Ujerumani Magharibi
zinatangaza zitaungana na kuwa nchi moja ya Ujerumani, wakati Vita
Baridi vya Dunia vikimalizika.
*Agosti 23, 1987: Kijana wa miaka 15 anaiteka ndege kubwa ya Shirika
la ndege la Uholanzi la KLM, yenye namba B737, akidai apewe dola 1 tu
(takribani shilingi 1,000 tu wakati huu) ili aiachie.
*Agosti 23, 1978: Kobe Bryant, mchezaji nyota na maarufu Marekani na
duniani kote, wa mpira wa vikapu wa ligi ya Taifa ya NBA, anayechezea
timu ya Los Angeles Lakers, anazaliwa.
*Agosti 23, 1975: Mengistu Haile anautwaa utawala wa Ethiopia kwa njia
ya kijeshi.
*Agosti 23, 1903: Theodor Herzl anatangaza kuundwa kwa taifa la Israel
wakati wa mkutano Mkuu wa 6 wa Baraza la Zayoni (Zion). Israel kama
nchi ilikuja kuundwa rasmi mwaka 1948 na kutambuliwa na Umoja wa
Mataifa.
No comments:
Post a Comment