*Agosti 6, 1962: Cleopa David Msuya anakuwa Kamishna wa Kwanza mzawa
wa Maendeleo ya Jamii Tanganyika.
*Agosti 6, 1945: Bomu la Hiroshima linaangushwa na Marekani nchini
Japan na kuleta maafa ambayo hayakuwahi kutokea kabla na baada ya hapo
duniani. Baada ya bomu hilo Japan ilisalimu amri na kumalizwa kwa vita
vya Pili vya Dunia.
*Agosti 6, 1940: Jamhuri ya Estonia inakuwa sehemu ya Urusi.
*Agosti 6, 1972: Geri Halliwell,, maarufu kama, 'Ginger Spice’,
mwimbaji wa kundi lililotamba sana la muziki la Spice Girls anazaliwa.
*Agosti 6, 1978: Marisa Miller, mmoja wa warembo wanamitindo maarufu
zaidi duniani, anazaliwa.
*Agosti 6, 1990: Rais Ghulam Ishaq Kahn wa Pakistan anamtimua kazi
Waziri Mkuu Benazir Bhutto (sasa Marehemu)
No comments:
Post a Comment