*Julai 14, 1913: Gerald Ford, Rais wa 38 wa Marekani kati ya
1974-1977, anazaliwa.
*Julai 14, 1958: Saddam Hussein na wanajeshi maofisa waandamizi wa
Iraq wanaipindua iliyokuwa serikali ya nchi hiyo na kutwaa madaraka.
*Julai 14, 1987: Taiwan inamaliza utawala wa kijeshi wa miaka 37.
*Julai 14, 1960: Wagonjwa wa akili 225 wanakufa baada ya moto kuunguza
mahali walipohifadhiwa kwa uangalizi na matibabu huko Guatemala.
*Julai 14, 1986: Watu 10 wanakufa baada ya mlipuko wa magaidi wa ETA
huko Hispania.
No comments:
Post a Comment