*Julai 13, 1959: Dayosisi ya kanisa Katoliki Musoma inazinduliwa rasmi.
*Julai 13, 1937: Balozi Ahmed Hassan Diria anazaliwa.
Julai 13, 1966: Richard Speck anawauawa wanawake 8 wote ma-nesi
karibu na Chicago, Marekani.
*Julai 13, 1997: Watu 77 wanakufa baada ya kivuko chao kuzama majini
huko Indonesia.
*Julai 13, 1967: Watu 27 wanakufa katika ghasia za Wazungu na weusi
huko Newark, New Jersey, Marekani.
*Julai 13, 1994: O.J. Simpson, Mmarekani mweusi ambaye kesi yake ya
tuhuma za mauaji ya aliyekuwa mkewe ziliitikisa dunia nzima,
anawasilisha nywele zake mahakamani ili zifanyiwe uchunguzi wa
kitaalam wa vinasaba (DNA).
*Julai 13, 1982: Watu 5 wanakufa katika ajali ya treni huko Ubelgiji.
*Julai 13, 1973: Hector de Campora anajiuzulu U-Rais wa Argentina.
No comments:
Post a Comment