Wednesday, February 22, 2012

JULAI 17 (MATUKIO MUHIMU YA KI-HISTORIA KATIKA TAREHE HII)

*Julai 16, 1961: Falme ya Uingereza inatoa tamkoj ingine kuwa
itaipatia Tanganyika Uhuru wake mwaka huu huu.
*Julai 16, 1920: China inajiunga na Jumuiya ya Kimataifa (League of Nation).
*Julai 16, 1987: Said Aouita wa Morocco anaweka rekodi kwa kukimbia
mita 2000 (kilometa 2) ndani ya dakika 4 sekunde 50 nukta tu.
*Julai 16, 1988: Carl Lewis anaweka rekodi nakuwa mkimbiaji kasi zaidi
duniani anapokimbia mita 100 (umbali wa goli hadi goli katika kiwanja
cha mpira) kwa kutumia sekunde 9 na nukta 78 tu.
*Julai 16, 1979: Saddam Hussein anashika madaraka kama mtawala mkuu wa Iraq.
*Julai 16, 1981: India inafanya jaribio la kwanza la bomu la nyuklia.
*Julai 16, 1990: Ukraine inapata Uhuru kutoka uliokuwa Muungano wa
Kisovieti (Urusi)
*Julai 16, 1983: Watu 20 wanakufa katika ajali ya helikopta mbaya
kuliko zote zilizowahi kutokea Uingereza.

No comments:

Post a Comment