*Julai 19, 1971: Solomon Eliufoo, waziri wa zamani wa Tanzania,
mwanasiasa maarufu wa Kilimanjaro na swahiba mkubwa wa Mwalimu
Nyerere, anafariki dunia.
*Julai 19, 1981: Hayati Mwalimu Mwalimu Nyerere anakemea ubadhirifu na
matumizi mabaya ya fedha na mali za umma.
*Julai 19, 1986: Argentina ikiongozwa na Diego Maradona inatwaa kombe
la Dunia la soka baada ya kuifunga Ujerumani Magharibi 3-2 katika
fainali za 13 za ubingwa huo.
*Julai 19, 1981: Chungwa kubwa kuliko yote duniani likiwa na uzito wa
kilo 2 na nusu (2.5 kg) linaonyeshwa hadharani huko Nelspruit, Afrika
ya Kusini.
*Julai 19, 1988: Soseji (Sausage) ndefu kuliko zote duniani ikiwa na
urefu wa maili 13 inazinduliwa.
*Julai 19, 1967: Muhammad Ali , bingwa wa masumbwi duniani maarufu
kuliko wote katika historia, anatiwa hatiani kwa kukataa kujiunga na
jeshi la Marekani kwenda vitani Vietnam.
*Julai 19, 1965: Rais Ahmed Ben Bella wa Algeria anapinduliwa kijeshi
katika mapinduzi yanayoongozwa na Kanali Houari Boumed.
No comments:
Post a Comment