Julai 2
*Julai 2, 1961: Jaji M.C.E.P Biron ambaye aliteuliwa na Malkia wa
Uingereza kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanganyika mnamo Julai 1, 1961,
anaanza rasmi kazi.
*Julai 2, 1941: Watu 7,000 wakazi wa miji ya Lvov na Lemberg wanauawa
na askari katili wa NAZI wa dikteta Adolf Hitler.
*Julai 2, 1986: Lindsay Lohan, mcheza filamu maarufu wa kike na
mwenye vioja kemkem, anazaliwa.
*Julai 2, 1952: Chifu Mangosuthu Buthelezi wa Wazulu anamuoa Irene Mzila.
*Julai 2, 1990: Mahujaji 1,426 wanakufa baada ya msongamano mkubwa
kutokea wakati wa Hijja katika jiji takatifu la Waislamu la Makka.
* ulai 2, 1993: Watu 325 wanakufa huko Bocaue, Philippines.
*Julai 2, 1993: Watu 41 wanakufa baada ya ndege ian ya F-28
craskuanguka huko Iran.
1993: watu 36 wanakufa kwa kuteketezwa moto na Waislamu wenye msimamo
mkali huko Sivas, Uturuki.
*Julai 2, 1994: Abiria wote 37 katika ndege ya DC-9 wanakufa
ilipoanguka jimbo la Karolina ya Kaskazini, Marekani.
*Julai 2, 1983: Michelle Branch, mwanamuziki maarufu wa Marekani
anazliwa huko, Sedona, Arizona, Marekani.
No comments:
Post a Comment