Friday, February 24, 2012

JULAI 1 KATIKA HISTORIA (JULY 1 HISTORY IN KISWAHILI) [HELIGOLAND TREATY]

* Julai 1, 1890: Mkataba maarufu wa Heligoland unaoigawa Afrika
Mashariki unatiwa saini na Uingereza na Wajerumani.
* Julai 1, 1944: Waingereza 2500 jijini London wanauawa kwa mabomu ya
ndege za dikteta Adolf Hitler wakati wa Vita vya Pili vya Dunia.
*Julai 1, 1975: Liv Tyler, mcheza sinema maarufu wa kke wa Marekani
aliyetamba na filamu za Lord of the Rings, anazaliwa.
* Julai 1, 649: Papa Martinus I anakuwa anawekwa wakfu kuchukua
nafasi ya Papa Theodore I kama kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani.
* Julai 1, Julai 1, 1989: Hugh Hefner (Mhariri wa jarida maarufu la
Playboy) anafunga ndoa na Kimberly Conrad.
* Julai 1, 2010: Uvujaji mafuta mbaya zaidi katika historia ya
Marekani unatokea katika bomba la kampuni ya BP.

No comments:

Post a Comment