*Agosti 24,1853: George Crum wa Saratoga Springs, Mew York, Marekani
anakuwa binadamu wa kwanza kukaanga chakula aina viepe (chips)
*Agosti 24,1940: Majeshi ya dikteta Adolf Hitler wa Ujerumani
yanalitwanga vibaya kwa mabomu jiji la London wakati wa vita vya Pili
vya Dunia.
HITLER
*Agosti 24, 1343: Wayahudi 6,000 ambao wanatuhumiwa na kusababisha
gonjwa hatari lililoiukumba Ulaya wanauwa katika mji wa Mainz
*Agosti 24, 1960 : Watu 60 wanauawa baada ya basi walilokuwamo
kutumbikia na kuzama ndani ya mto Turvo, Brazil.
*Agosti 24, 1992: Watu 235 wanakufa baada ya kimbunga kinachopewa jina
la Andrew kulikumba eneo la Florida ya Kusini, Marekani.


No comments:
Post a Comment