*Julai 22, 1963: Tanganyika inaanza rasmi utekelezaji wa Sheria mpya
ya kuiweka chini ya umma ardhi iliyokuwa chini ya umiliki wa Makabaila
wa Kiingereza.
*Julai 22, 1992: Pablo Escobar, jangili hatari zaidi la madawa ya
kulevya lililopata kuishi, linatoroka gerezani nchini Colombia.
*Julai 22, 1987: Said Aouita wa Morocco anaweka rekodio ya dunia kwa
kukimbia kilometa 5 (mita 5,000) ndani ya dakika 12:58.39 huko Roma,
Italia.
*Julai 22, 1994: Rais Dawda Jawara wa Gambia anaikimbia nchi baada ya
mapinduzi ya kijeshi nchini humo.
*Julai 22, 1917: Alexander Kerensky anakuwa Waziri Mkuu wa Urusi.
*Julai 22, 1918: Kondoo 504 wanauawa kwa radi huko Wasatch, Utah, Marekani.
*Julai 22, 1994: O. J. Simpson anasema hana hatia kwa asilimia 100
katika kesi dhidi yake inayomabili ya kuuuawea kwa aliyekuwa mkewe.
No comments:
Post a Comment