Wednesday, February 22, 2012

JULAI 26 (MATUKIO MUHIMU YA KI-HISTORIA KATIKA TAREHE HII)

*Julai 26, 1968: Baraza la Kutunga Sheria la Tanganyika linaukataa
muswada uliowasilishwa na Serikali kwa ajili ya kutoa posho za ziada
kwa Mawaziri, wakuu wa Mikoa na wakuu wa wilaya.
*Julai 26, 1993: Watu 66 wanakufa huko Korea ya Kusini baada ya ndegea
aina ya Boeing 737-500 kuanguka.
1953: Fidel Castro anaanza harakati za kumng'oa Fulgenico Batista,
mtawala aliyetawala kimabavu Cuba kabla yake.
1924: Elias Motsoaledi, kamanda wa jehsi la Ukombozi la wazalndo aw
Afrika ya Kusini, Umkhonto We Sizwe, anazaliwa.
1956: Misri inauvamia na kuutwaa mfereji maarufu wa Suez.

No comments:

Post a Comment