Wednesday, February 22, 2012

JULAI 25 (MATUKIO MUHIMU YA KI-HISTORIA KATIKA TAREHE HII)

*Julai 25, 1980: Serikali inaeleza kuwa imeweka mkakati wa kupanua
huduma za kiposta ambapo hadi ifikapo 1981 uwiano wa posta na
watumiaji utakuwa kwamba kila watu 20,000 nchini Tanzania watahudumiwa
na posta moja.
*Julai 25, 1985: Katiba ya Uganda inasimamishwa baada ya mapinduzi ya kijeshi.
*Julai 25, 1914: George Steveson anagundua garimoshi (treni) ya kwanza
inayotumia injini ya mvuke (steam engine train)
*Julai 25, 1967: Matt LeBlanc, mcheza sinema aliyetamba na tamthiliya
ya ‘Friends’ anazaliwa.
*Julai 25, 1978: Louise Joy Brown, mtoto wa kwanza wa chupa ("test
tube baby") duniani, anazaliwa huko Oldham, Uingereza.

No comments:

Post a Comment