*Julai 28, 1954: Manispaa ya Tanga ambayo ndiyo Manispaa ya kwanza
kabisa Tanganyika, inaanzishwa.
*Julai 28, 1963: Jomo Kenyatta anakuwa Waziri Mkuu wa kwanza mzawa wa Kenya.
*Julai 28, 1961: Taasisi ya kimataifa ya Haki za Binadamu ya Amnesty
International inaanzishwa.
*Julai 28, 1942: Raia 1,800 wa Czechoslovakia wanauawa katika mji wa
Heydrich na majeshi dhalimu ya NAZI ya Ujerumani chini ya Dikteta
Adolf Hitler.
*Julai 28, 1995: Watu wanakufa baada ya tetemeko kubwa la ardhi
kulikumba eneo la Khabarovsk, Mashariki mwa Urusi.
*Julai 28, 1997: Watu 28 wanakufa katika kimbunga kikal aina ya
Tornado huko Jarrell Texas .
*Julai 28, 640: Papa Severinus anaanza utawala wake kama Papa
(kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani).
*Julai 28, 1964: Jawaharlal Nehru aliyekuwa Waziri Mkuu maarufu wa
India aliyeipatia uhuru nchi hiyo, anakaushwa kwa moto kwa mila za
imani ya Kihindu, baada ya kufa kwake.
*Julai 28, 1930: Edward Seaga, Waziri Mkuu wa Jamaica wa zamani, anazaliwa.
*Julai 28, 1991: Waasi wa Ethiopia chini ya Mengistu Haile Mariam
wanautwaa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa.
*Julai 28, 1944: Rudy Giuliani, Meya wa New York aliyejipatia umaarufu
mkubwa baada ya Osama Bin Laden kuongoza mashambulizi ya kigaidi ya
Septemba 11, 2001, anazaliwa.
*Julai 28, 1993: Serikali ya Poland chini ya Suchocka inaanguka.
No comments:
Post a Comment