Julai 4
*Julai 4, 1776: MAREKANI inapata uhuru kutoka kwa Waingereza.
*Julai 4, 2001: Dk. Omar Ali Juma, aliyekuwa Makamu wa Rais Tanzania,
anafariki dunia.
*Julai 4, 1960: Sir Ralph Windham anateuliwa kuwa Jaji Mkuu wa
Mahakama Kuu ya Tanganyika.
*Julai 4, 1976: Makomandoo wa Israeli wanawaokoa mateka 229 wa ndege
kutoka uwanja wa ndege wa Entebbe, Uganda.
*Julai 4,1979: Ahmed Ben Bella, Rais wa zamani wa Algeria, anachiwa huru.
*Julai 4,1999: Pete Sampras anambwaga Andre Agassi katika ubingwa wa
tenisi duniani kwa wanaume, kombe la Wimbledon.
*Julai 4,1999: Lindsay Davenport anambwaga Steffi Graffi katika
ubingwa wa tenisi duniani kwa wanawake, kombe la Wimbledon.
*Julai 4,2004: Roger Federer anambwaga Andy Roddick katika ubingwa wa
tenisi duniani kwa wanaume, kombe la Wimbledon.
*Julai 4,2001: Abiria wote 352 katika ndege namba 352 wanakufa
inapoanguka huko Burdakovka.
No comments:
Post a Comment