Friday, February 24, 2012

JUNI 15 KATIKA HISTORIA (JUNE 15 HISTORY IN KISWAHILI)

*Juni 15, 1997: Garry Kasparov, Mrusi bingwa wa chess duniani na
mmoja wa binadamu wanaotajwa kuwa na kiwanho cha juu zaidi cha akili
(IQ) anaeleza kwa nini alishindwa mchezo huo alipopambanishwa na
programu ya kompyuta ya IBM ya Deep Blu.
*Juni 15, 1994: Nelson Mandela anafunga fungate (honey moon) na mkewe
wa pili, Winnie Mandela, siku moja tu baada ya wawili hawa kuoana.
*Juni 15, 1965: Banladesh inatoa takwimu za kuanguka uchumi wa nchi
hiyo kwa kiasi kikubwa baada ya kimbunga kikali kuua watu zaidi ya
17,000 na kuharibu vibaya miundombinu.

No comments:

Post a Comment