Friday, February 24, 2012

JUNI 16 KATIKA HISTORIA (JUNE 16 HISTORY IN KISWAHILI)

*Juni 16, 2004: Kesi ya madawa ya kulevya ya bilioni 15 TANZANIA inaendelea kuunguruma.
*Juni 16, 1994: Wadau wa elimu nchini TANZANIA wanasikitishwa na habari na
picha zilioonyesha wanafunzi wa shule ya Ukaninemo kusomea chini ya
mti.
*Juni 16, 1903: Coca Cola, kampuni kubwa na maarufu zaidi ya soda
duniani, inaanzishwa.
*Juni 16, 1971: Tupac Shakur, mwanamuziki mweusi kuliko wote waliopata
kusihi Marekani, anazaliwa.
Juni 16, 1991; Bosris yYeltisn anachaguliwa kuwa Rais wa Urusi baada
ya Mikhail Gorbachev kuondoka.
*Juni 16, 1977: Leonid Brezhnev anachaguliwa kuw Rais wa Urusi.
*Juni 16, 1986: Mgomo mkubwa wa siku nzima wa wafanyakazi takribani
wote unatokea Afrika ya Kusini.
*Juni 16, 1987: Bernhard Goetz, mtu aliyewaua kwa risasi vijana wane
waliotaka kumuibia katika kituo cha treni chini ya ardhi huko
Marekani, anaachiwa huru na mahakama.

No comments:

Post a Comment