*Juni 17, 1958: Paul Bomani , kiongozi wa Victora Federation,
anakutana na Mwalimu Nyerere katika harakati za ukombozi wa
Tanganyika.
*Juni 17, 1969: Kitabu maarufu cha historia ya Tanganyika, Toward
Uhuru in Tanganyika, cha G. Andrew Maguire kinaanza kuuzwa na Taasisi
ya Chuo Kikuu cha Oxford.
*Juni 17, 1898: Bunge la Marekani linakubali Marekani ikitwae kisiwa
cha Hawaii na kukifanya sehemu ya nchi yake.
*Juni 17, 1938: Japan inatangaza vita dhidi ya China.
*Juni 17, 1980: Venus Williams, mcheza tenisi mashuhuri wa kike wa
Marekani anazaliwa.
*Juni 17, 676: Deusdedit III anamaliza utawala wake kama Papa wa
Kanisa katliki duniani.
*Juni 17, 1945: Art Bell, mmoja wa wazungumzaji wenye mvuto wa juu wa
redio duniani, anazaliwa. Hutamba na kipindi chake maarufu cha Coast
to Coast kinachoskikilizwa na mamilioni ya watu Marekani na sehemu
nyingi duniani.
No comments:
Post a Comment