*Juni 22, 1976: Mkutano wa Baraza la Ulimwengu la Elimu ya Watu wazima
unaingia siku ya pili jijini Dar es Salaam.
*Juni 22, 1984: Hamad Rashid Mohammed, Naibu Waziri wa Mambo ya ndani
analiambia Bunge kuwa wafanyabiashara ambao mali zao zilitaifishwa
kimakosa kwa makosa ya kuhujumu uchumi watarudishiwa mali hizo na wale
ambao zilishauzwa watapewa sehemu ya fedha zilizopatikana katika mauzo
hayo.
*Juni 22, 1812: Jemedari Napoleon na jeshi lake lenye nguvu linaivamia Urusi.
*Juni 22, 1941: Ujerumani, Italia na Romania zinatangaza vita dhidi ya
Urusi wakati wa Vita vya Pili vya Dunia.
*Juni 22, 2002: Earthquake kills at least 260 in western Iran
*Juni 22, 1933: Dianne Feinstein, Meya wa kwanza mwanamke wa jiji la
San Francisco na Seneta wa muda mrefu wa Marekani, anazliwa.
No comments:
Post a Comment