Friday, February 24, 2012

JUNI 23 KATIKA HISTORIA (JUNE 23 HISTORY IN KISWAHILI)

Juni 23, 1964: Serikali ya Tanzania inatamka kuwa Wanajeshi wako huru
kujiunga na chama cha siasa cha TANU ama ASP, miezi miwili tu baada ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar..
Juni 23, 1956: Gamal Abdel Nasser Anachaguliwa kuwa Rais wa Misri.
Juni 23, 1972: Kimbunga kiitwacho Agnes kinasababisha hasara ambayo
haikuwahi kutokea kabla nchini Marekani kutokana na majanga ya asili.
Juni 23, 1983: Syria inamfukuza nchini humo kiongozi wa Chama cha
Ukombozi wa Palestina (PLO), Yasser Arafat
1996: Andreas George Papandreou, aliyekuwa Waziri Mkuu maarufu na wa
muda mrefu wa Ugiriki,anafariki.
1995: Jonas Salk, mtaalamu wa tiba aliyegundua kinga ya ugonjwa wa
polio, anafariki dunia.

No comments:

Post a Comment