Friday, February 24, 2012

JUNI 24 KATIKA HISTORIA (JUNE 24 HISTORY IN KISWAHILI)

Juni 24, 1962: Maandalizi ya mwsho kuizindua FRELIMO, Chama
kilichopigania uhuru wa Msumbiji na kuikomboa nchi hiyo kutoka ukoloni
wa Wareno, yanafanyika jijini Dar es salaam na wakimbizi wa Msumbiji
wanaoshi nchini.
Juni 24, 1940: Ufaransa inasaini mkataba wa amani na Italia wakari wa
Vita vya Pili vya Dunia.
Juni 24, 1793: Ufaransa inapata Katiba yake ya kwanza ya Jamhuri.
Juni 24, 1340: Vita Virefu vya miaka 100 cvinaendelea kwa meli ya
Uingereza kuizamisha meli ya Ufaransa.
Juni 24, 1945: George E. Pataki, mwanasiasa maarufu wa Marekani na
Gavana wa New York, anazaliwa.
JUuni 24, 1842: Ambrose Bierce, mchekeshaji na mwandishi wa Kamusi ya
Shetani, anazaliwa.

No comments:

Post a Comment