Friday, February 24, 2012

JUNI 27 KATIKA HISTORIA (JUNE 27 HISTORY IN KISWAHILI)

Juni 27 Historia
*Juni 27, 1974: Mkutano wa kwanza wa watu wenye asili ya Bar la Afrika
unafanyika kwa mara ya kwanza barani Afrika, jijini Dar es Salaam.
Juni 27, 1912: Kipande cha Reli ya Kati, baina ya Morogoro-Tabora
kinazinduliwa rasmi.
*Juni 27, 1988: Mike Tyson anamtwanga kwa KO bondia Michael Spink
ndani ya dakika 91 katika pambano la ndondi za dunia uzito wa juu.
*Juni 27, 1983: Pauni 960,200 zinalipwa kununua kazi ya sanaa ya Miro,
kiasi kikubwa zaidi kulipwa kwa kazi ya usanii wa kuchora au kuchonga
na msanii aliye hai bado.
*Juni 27, 1981: Cambodia inapata Katiba yake.

No comments:

Post a Comment