Friday, February 24, 2012

JUNI 28 KATIKA HISTORIA (JUNE 28 HISTORY IN KISWAHILI)

*Juni 28, 1961: Chuo cha Itikadi za siasa cha chama cha TANU
kinafunguliwa huko Kigamboni. Colin Ley anakuwa mkuu wa kwanza wa chuo
hicho.
*Juni28, 1919: Mkataba wa amani wa Versailles, Ufaransa unaomaliza
rasmi Vita vya Kwanza vya Dunia na kuunda jumuiya ya Mataifa
unasainiwa.
*Juni 28, 1919: Ndege iliyotekwa ikiwa na Wayahudi inapelekwa Uganda
na kutua katika uwanja wa Entebbe. Sakata la uokaji mateka
lililofanywa kwa umahiri mkubwa na makomandoo majasusi wa Ki-Israeli
ni moja ya matukio ya kukumbukwa zaidi karne ya 20.
*Juni 28, 1934: Adolf Hitler anakimbia baada ya kunusurika kifo katika
tukio linaloitwa Usiku wa Visu virefu (Night of Long Knives)
*Juni 28, 1941: Wayahudi 11, 000 wanauawa na askari wa Kinazi wa
Kijerumani na Romania chini ya Dikteta Adolf Hitler.

No comments:

Post a Comment